wanajamvi habarini, mm ni msichana niliemaliza bachelor of arts in public relations and marketing natafuta kazi yeyote ya uhalali ht km ni hotel kubwa as a receptionist nipo tyr kuliko kuendelea kukaa bure nyumbani, its serious jamani nipo mwanza ilemela