Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
NakaziaMuache asome kwanza
Asiharakie maisha...
Ni kweli kabisa....Nakazia
WHat if kazi ni adminstrative??. Anasoma chuo ila haitaathiri kazi atayopata.
Mkuu maisha yana changamoto nyingi? Sio kila mtu analipiwa ada among many other issues. Ukiona mtu anatafuta msaada haina maana hataki elimu.Muache asome kwanza
Asiharakie maisha...
Nimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswali ya hivi.Siku hizi kazi za kutafutiwa? Au mdada mwenyewe ni wewe? Halafu hiyo paragraph 1 inatosha kwa mwajiri kukuona we ni mtu serious? Vijana mnajiharibia wenyewe mjue
Nimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswaliSiku hizi kazi za kutafutiwa? Au mdada mwenyewe ni wewe? Halafu hiyo paragraph 1 inatosha kwa mwajiri kukuona we ni mtu serious? Vijana mnajiharibia wenyewe mjue
Kama ipo mkuu nicheki PM, nothing cannot be arranged.WHat if kazi ni adminstrative??
Yani mwajiri akupm? AiseeNimetoa scenario ya mtu ilivyo, una kitu nimetoa maelekezo pa kwenda kama unataka zaidi. Kama wewe hukusaidiwa na watu haimaanishi hamna atayesaidiwa na watu. Lastly waajiri hawaulizi maswali ya hivi.
Hamna mtu anaharakia maisha, kusoma hakuna maana mtu asitafute chochote kitu cha kufanya. Vipi kama anasoma Open? Au vipindi vya Usiku?π€Muache asome kwanza
Asiharakie maisha...
Kuna namba hapo juu kwa mawasiliano, mwajiri anatakiwa afanye nini? Ebu niambie kwa uzoefu wako mwingi.πYani mwajiri akupm? Aisee
Mwajiri ana watu elfu wanataka kazi na wanamtumia CV na maelezo ya kutosha hawezi kuacha watu wanaomtafuta aende kwenye pm yako kijana jiongeze! Umeona waalimu walioomba kazi na degree zao walivyopanga foleni? Sembuse mwanafunzi amuwekee mwajiri namba na kumuelekeza amtafute pm? Labda awe rocket scientist na ana soko dunia nzima!Kuna namba hapo juu kwa mawasiliano, mwajiri anatakiwa afanye nini? Ebu niambie kwa uzoefu wako mwingi.π
Sawa sawaMkuu maisha yana changamoto nyingi? Sio kila mtu analipiwa ada among many other issues. Ukiona mtu anatafuta msaada haina maana hataki elimu.
Sawa sawaHamna mtu anaharakia maisha, kusoma hakuna maana mtu asitafute chochote kitu cha kufanya. Vipi kama anasoma Open? Au vipindi vya Usiku?π€