M mamsapu Senior Member Apr 22, 2011 111 25 Jan 13, 2012 #1 Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana.
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,911 1,131 Jan 13, 2012 #3 mamsapu said: Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana. Click to expand... Dah, Ndugu yangu kazi zingekuwa zinapatikana kwa style yako maisha yangekuwa rahisi sana. Jifunze Kuomba unaweza kusaidiwa maana hao wanaotafuta kazi ni wengi sio kazi zinawatafuta wao.
mamsapu said: Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana. Click to expand... Dah, Ndugu yangu kazi zingekuwa zinapatikana kwa style yako maisha yangekuwa rahisi sana. Jifunze Kuomba unaweza kusaidiwa maana hao wanaotafuta kazi ni wengi sio kazi zinawatafuta wao.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Jan 13, 2012 #4 ​hakuna detailed information about ur CV,yaani umeweka vitu too general.
T TUMY JF-Expert Member Apr 22, 2009 705 93 Jan 13, 2012 #5 Endelea kutafuta utapata, pitia magazeti na jaribu kutengeneza Network.
Ndachuwa JF-Expert Member Mar 8, 2006 6,269 4,570 Jan 13, 2012 #6 Tafuta additional qualification, huku Private sector kila mjasiria mali anasimamia shughuli zake mwenyewe hivi ulichosomea hatukihitaji sana.
Tafuta additional qualification, huku Private sector kila mjasiria mali anasimamia shughuli zake mwenyewe hivi ulichosomea hatukihitaji sana.