emmy mlyuka
Member
- Oct 11, 2018
- 20
- 22
Ngoja mzee wa kuchakata papuchi aje!duh, umeweka na namba kabisa, subiria wazee wa kutupia ndoana
Unaweza kufanya kazi yoyote halali? Au unataka tu kuwa technician wa IT.Naitwa emmy natafuta kazi nina elimu ya IT ya certificate nina experience ya kazi ya cashier nimeshafanya kampuni tatu tofauti nina uzoefu wa miaka miitatu mpaka sasa lakin kazi za aina tofauti pia nafanya yenye mshahara wa kukizi mahitaji asanteni sana namba yangu ni 0716782677
WEE SHOGA Jina lako unaitwa BALTHAZARI SHAYO!Naitwa emmy natafuta kazi nina elimu ya IT ya certificate nina experience ya kazi ya cashier nimeshafanya kampuni tatu tofauti nina uzoefu wa miaka miitatu mpaka sasa lakin kazi za aina tofauti pia nafanya yenye mshahara wa kukizi mahitaji asanteni sana namba yangu ni 0716782677
Mkuu nakusalimia. Mimi naweza kufanya kazi yoyote halali ambayo itakuwa ndani ya uwezo wangu kuimudu. Kama ipo naomba msaada wako kaka mkubwa.Unaweza kufanya kazi yoyote halali? Au unataka tu kuwa technician wa IT.
Kazi yoyote tu inayokimu mahitaji ya kibinadamuUnaweza kufanya kazi yoyote halali? Au unataka tu kuwa technician wa IT.
Jina langu naitwa emmy namba yangu kanisajilia kaka yangu miaka ya nyuma iliyopita na cjabadilisha umeenda kuangalia jina la tgo pesa kwann usinipigie usikie anaeongea ni dume au jikeWEE SHOGA Jina lako unaitwa BALTHAZARI SHAYO!
Uko wapiNaitwa emmy natafuta kazi nina elimu ya IT ya certificate nina experience ya kazi ya cashier nimeshafanya kampuni tatu tofauti nina uzoefu wa miaka miitatu mpaka sasa lakin kazi za aina tofauti pia nafanya yenye mshahara wa kukizi mahitaji asanteni sana namba yangu ni 0716782677
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Hudu ma ya kutafutiwa kazi ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022Naitwa emmy natafuta kazi nina elimu ya IT ya certificate nina experience ya kazi ya cashier nimeshafanya kampuni tatu tofauti nina uzoefu wa miaka miitatu mpaka sasa lakin kazi za aina tofauti pia nafanya yenye mshahara wa kukizi mahitaji asanteni sana namba yangu ni 0716782677