Natafuta kazi

Barxy

New Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Habari Naitwa Baraka ninamiaka 18 natafuta kazi yoyote hata ya kusaidia kitu chochote kile elimu yangu ni kidato cha nne nipo Dar es Salaam naombeni mnisaidie sina ujuzi wowote ule naamini nikianza popote nitaendelea kupata ujuzi hata kama usafi kuuza duka au chochote kile nipo tayari 0784607791
Cheti ninacho na najua kuongea kiswahili na kiingereza
 

Attachments

  • FB_IMG_15410590293206871.jpg
    8.7 KB · Views: 34
  • FB_IMG_15410590293206871.jpg
    8.7 KB · Views: 32
  • FB_IMG_15410590293206871.jpg
    8.7 KB · Views: 31
Unaweza kuuza bidhaa kama izi kwa malipo kadiri unavyouza, kwa bajeti yangu ni malipo ya 150,000 kwa mwezi, ingawaje ukitaka kulipwa kwa wiki pia inawezekana kulingana target tulizowekeana...
Bidhaa yenyewe ni dagaa fresh za kukaanga kutoka Mwanza kuja Dar...Kama zinavyoonekana hapa chini...Ukiamua kuuzia nyumbani, barabarani, shuleni maofcn popote pale ili mradi mauzo yaonekane...
 

Attachments

  • VID_20200801_180020.mp4
    28.6 MB

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…