Natafuta kazi

swampa

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Nina degree ya procurement and logistics management, nshasagiliwa na Bodi ya manunuz na saiz naendelea kufanya mtihan yao na nipo stage five. Msaada
 
Kwa anayehitaji mdada wa reception anaejua computer vizuri na mambo ya recordings amesomea biashara yupo hapa dar au popote penye hitaji km hilo yupo tyr kwa 0788997980- 0714400414 na amekuwa operatio manager ktk petrol stations kwa zaidi ya miaka mitatu
 
Iwe kwenye biashara ofisini au kiwandani yuko tayari kwani amekuwa mtaalam kwa matumizi ya computer hususani recordings nk 0714400414
 
weka pcha
 
Na mtaalam wa ku designe card mbalimbali kwa shughuli za stationery ana vyeti alivyosomea course hiyo ya computer 0788997980
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…