Natafuta kazi

Joined
Oct 3, 2016
Posts
74
Reaction score
23
Hello JF, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, nimeokoka nampenda Yesu nina elimu ya certificate in Business Administration.

Natarajia kuendelea na diploma evening classes ila kwa sasa natafuta kazi ambayo naweza kufanya day time/ full time fluent in english and swahili mungu awabariki
 
mmmmmh umeokoka tena?. huu msara sasa ofisi ikiwa na hirisi ya kuvutia wateja utafanya kazi?
 
Umeharibu tuu hapo ulipotanguliza u dini. Wakati wa kutafuta kazi mambo mengine siyo lazima kuya expose. Hasa dini na kabila, unless kama umeulizwa. Kila la heri katika kutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…