Natafuta Kazi

Mbiz112

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
8
Reaction score
5
Mimi ni kijana ambaye nimemaliza diploma ya elimu ya mafunzo ya uvuvi mwaka 2014. Natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na fani yangu pia nina uelewa mzuri wa kutumia Computer kama window installation, Program installation, Word, Excel na Power Point. Kwa mawasiliano zaidi 0719008082
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…