Natafuta kazi yoyote

Joined
Mar 28, 2014
Posts
25
Reaction score
0
Jamani naombeni msaada wenu mpaka sasa life ngumu mno, nilikuwa chuo mwaka wa tatu lakn bahati mbaya bodi ya mikopo hawaja niwezesha kwa hivyo nimeshndwa kumalizia mwaka wa tatu, natafuta kazi niweze fanya kwa muda my no;-

0756692453,E-mail mngoniben@gmail.com
 
Kwa uandishi huo una haki ya kutokupata kazi mkuu embu andika kama kwel unahitaji kaz na sio mizaha
 
ulitaka andikaje watanzania ndo maan a2endelei unajifanya ujaelewa kama una cha kumsaidia kaa kimya
 
Usichoelewa hapo nini? Au mpaka aweke stamp? ukiweza msaidie, usipoweza acha. Waliomwelewa watamsaidia as long as ameweka contacts zake. Tuache kujifanya tunajua kumbe na wewe unapiga miayo kama yeye.
 
ulitaka andikaje watanzania ndo maan a2endelei unajifanya ujaelewa kama una cha kumsaidia kaa kimya

Kwa uandishi huo na wewe pia mtafanya kazi gani? Awe serious asaidiwe, akileta utoto ataendelea na shida zake.
 
Hata kufundisha naweza, nimewahi fanya part time time 2011, pia hata yoyote halali
 
Kwa uandishi huo una haki ya kutokupata kazi mkuu embu andika kama kwel unahitaji kaz na sio mizaha
damn you! obsolete!
kwa hiyo unajifanya wewe ndo unajua kuandika saaaaaana!, na hapo umeandikaje sasa, hamna koma wala kituo. na hilo neno kaz ndo kiswahili gani, ungekuwa unaomba kazi ungepata? mnschiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwa uandishi huo na wewe pia mtafanya kazi gani? Awe serious asaidiwe, akileta utoto ataendelea na shida zake.

inaonekana we ni wa mwaka 47 si bure.kwa hiyo unataka alete uzee wako hapa? mschyiiiiiiiiiiiiiii. huna msaada kakojoe ukalale, ukiamka nenda BAKITA ukasaidie kuandika kamusi kama we unajua sana uandishi.
 
ulitaka andikaje watanzania ndo maan a2endelei unajifanya ujaelewa kama una cha kumsaidia kaa kimya

kabisa! kuna mikubwa jinga, vichwa maji, akili upepo ipo humu kuenjoy watu wenye matatizo.eti inataka aandike kama barua rasmi ya kuomba kazi.
 
Kwa uandishi huo una haki ya kutokupata kazi mkuu embu andika kama kwel unahitaji kaz na sio mizaha

Haya mpe kazi akugegede kwa maana najua ndio unataka, huna lolote kujifanya huelewi.
 
inaonekana we ni wa mwaka 47 si bure.kwa hiyo unataka alete uzee wako hapa? mschyiiiiiiiiiiiiiii. huna msaada kakojoe ukalale, ukiamka nenda BAKITA ukasaidie kuandika kamusi kama we unajua sana uandishi.

Facts hazina expiry date na elimu haina short cut, utaendelea kusota kwa kujidai mjuaji. Many receives the advice only the wise profit from it.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…