Naomba connection bossKuna Godown fulani kule Town huwa wanapakua mizigo melini kuhifadhi ktk hilo Ghala..Aisee Posho ni zaidi ya 10k per day ila Usipoiba nguo zako ww mwanaume...
Unaweza kufanya kazi kama loader maana barharesa pale Buguruni ma loader wanalipwaHeshima yenu wakuu.
Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku.
1. Ninaishi Dar
2.Umri wangu ni miaka 23
3. Nina bachelor's degree ya management of social development
4. Sichagui kazi
5. Mzoefu wa kuendesha gari japo sina driving license
6. Nimepita JKT
7. Nna experience ya procurement and sourcing
8. Ware house maintenance
9. Gym trainer
10. Door to door deliveries
Sikia. Tafuta mtaji wa kununua spika moja kubwaaa. weka flash za nyimbo za mazoezi. nenda kwenye maofisi ya serikali au taasisi mbalimbali. pata mwenyeji pale akutangalize kuwa ni mwalimu wa mazoezi na unaweza kutrain watu wapunguze vitambi eneo la ofisini bila kuhangaika kwenda Gym maana huko kuna watu wana vitambi, pressure, stress za kumwaga lakini hawana muda wa kwenda gym. anza kazi. njoo nishukuru.
15k per day, ngoja watu wakusaidie. Wengi haifiki hiyo na ikifika hiyo ni kumenyeka haswaa.
Kila la kheri mzee, kwenye maisha nyakati ngumu huja na kupita.
Mungu akufanyie wepesi, uje kuishi maisha ya ndoto zako.
Ndio zipo na zinaongezeka kila siku. Watumishi wakijiunga wanaomba wenyewe eneo kwa mwajiri wao na wanakulipa wao kila siku mazoezi yanaendelea. Shida ni kumpata mwalimu mwaminifu na anayejua anafanya nini. kuna mmoja tulimpata akaaanza vizuri sana; akanogewa akaanza kutongoza ovyo na kushika wamama mat..ko... tukamtimuaMkuu kuna taasisi zinaweza kuruhusu jambo ili kufanyika kwenye premises zao hapa Tanzania? Na kama unaijua hata moja, naomba muongozo mkuu.
Ndio zipo na zinaongezeka kila siku. Watumishi wakijiunga wanaomba wenyewe eneo kwa mwajiri wao na wanakulipa wao kila siku mazoezi yanaendelea. Shida ni kumpata mwalimu mwaminifu na anayejua anafanya nini. kuna mmoja tulimpata akaaanza vizuri sana; akanogewa akaanza kutongoza ovyo na kushika wamama mat..ko... tukamtimua
Pia zipo ambazo zinamlipa mwalimu kwa ajili ya watumishi wake.
15000 kwa siku umeiona ndogo sana??? Hiyo ni kazi ya kumenyeka haswa na bado kuipata ni shughuli pevu...
Kila la heri mkuu..
Tupe connection wakuuKuna Godown fulani kule Town huwa wanapakua mizigo melini kuhifadhi ktk hilo Ghala..Aisee Posho ni zaidi ya 10k per day ila Usipoiba nguo zako ww mwanaume...
Kua saidia fundi maana hayo ndio malipo yao 15 kwa siku kazi ikiwa ya moto sana unalamba 20