Ukiomba kazi hivi huwezi kupata kazi maisha yako yote, specify kazi unayoiweza km usafi sema usafi, km udobi sema udobi, km ufundi sema ufundi, huwezi kufanya kazi yoyote mkuu jielewe unachokitaka usikurupuke,Nahitaji kazi yoyote halali
Paragraph ya mwisho umeandika kiumwamba Sana sidhani kuna mtu timamu anakuja PM kuomba hio namba yako
Ukiomba kazi hivi huwezi kupata kazi maisha yako yote, specify kazi unayoiweza km usafi sema usafi, km udobi sema udobi, km ufundi sema ufundi, huwezi kufanya kazi yoyote mkuu jielewe unachokitaka usikurupuke,
Hahaaa!!wewe ndiye muhitaji halafu tena una leta umwamba!!Habari wana JF,
Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.
Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
Hahaaa!!wewe ndiye muhitaji halafu tena una leta umwamba!!
Elimu yako?Habari wana JF,
Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.
Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
Mtaji aweke matako?Kama una smartphone trade forex!
Umejibu vema[emoji736]Mtaji aweke matako?
Unaweza kufanya mauzo ya M-Gas?Habari wana JF,
Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar, Tegeta.
Siwezi kuweka mawasiliano kama kuna anayehitaji anitafute dm ntampatia.
Dah dili hili limekuja mtoa mada kapotea,anapishana na bahati ilitakiwa aweke namba ya simuUnaweza kufanya mauzo ya M-Gas?
Mimi naweza.Unaweza kufanya mauzo ya M-Gas?
Tucheck 0683977897Mimi naweza.