Natafuta kazi yoyote halali

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habar wanajf, mimi ni kijana wa kitanzania, naishi dar.
 
Mpaka nipate kazi ndo nitafaham baada ya kuona na ugum wa kazi
 
Shukran kwa ushauri wako
 
vip unaweza kuwa unafanya hii kabla aujapata kazi nyingine ni ya kutafuta abiria wa ndege za ndani na njee ya nchi utalipwa kwa kila abiria unaye mleta ni PM kama utakuwa teyari nikuelezee vizuri 0672089903
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…