Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nayejaribu kupambana ili walau nipate tonge la kila siku. Kwa sasa nipo idle tu sina kazi kwa yeyote ambae ana mchongo wa kazi za ulinzi kindly help!
Habari za asubuhi wadau, mimi ni kijana mwenye miaka 25 naejaribu kupambana ili walau nipate tonge la kila siku. Kwa sasa nipo idle tu sina kazi kwa yeyote ambae ana mchongo wa kazi za ulinzi kindly help!