Nime graduate mwaka jana na nina matokeo ya kuridhisha pia mwaka jana huohuo nikaonganisha na mitihani ya CPA (T) kwa sasa nasubiria matokeo ya mwisho ya final stage mwezi huu.
Hivyo najaribu kutafuta kazi.
who is interested kunisaidia ani PM.
Asante