Hongera kwa kuhitimu na pia pole kwani ajira hata ya ualimu imekuwa ngumu kishenx kwa sasa,washkaji zangu huu ni mwaka wa 3 wanaranda tu mitaani, vischools vya kupigia tempo vipo ila malipo ndo kesi!! kama kuna uwezekano wa kuanzisha katuition room anzisha kwani vinalipa!!