Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Pm tafadhaliKama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninatafuta kazi ya uwalimu wa kuanzia ngazi ya secondary hadi cheti (kwa course za biashara)
-Elimu yangu ni ya shahada ya elimu ya biashara (bachelor of commerce with education)
-nina uwezo wa kufundisha book keeping/accountancy na commerce (kwa level ya secondary), accounting & management (kwa level ya certificate)
-nina uzoefu wa kufundisha wa miaka mitatu
-Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote nchini
Mwenye connection yoyote karibu PM
NB:
usiniambie nitume pesa yoyote ili uniunganishie kazi kwa sababu sitatuma.
Kama kuna dalali wa kazi yoyote ambaye yuko serious au mtu yoyote anayeuza nafasi ya kazi njoo PM tutete niko teari kumlipa mshahara wote wa Kwanza mwezi mmoja baada ya kupata na kuanza kazi na si vinginevyo.
Ok kaka nimeshakuchekiPm tafadhali
Mkuu mi nahangaika kufungua tuition centre nakosa pesa za pango na madawati ya kuanzia. Sehemu ni nzuri sana pale makambako. Kama utakuwa serious tufanye kazi maana inahitajika 500000 tu ili tulipe pango pamoja na kutengeneza madawati walao 10 ya kuanzia pamoja na meza na viti vya ofic. Wanafunzi wa PC, QT pamoja na tuition kwa wanaosoma public school ni wengi mno.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninatafuta kazi ya uwalimu wa kuanzia ngazi ya secondary hadi cheti (kwa course za biashara)
-Elimu yangu ni ya shahada ya elimu ya biashara (bachelor of commerce with education)
-nina uwezo wa kufundisha book keeping/accountancy na commerce (kwa level ya secondary), accounting & management (kwa level ya certificate)
-nina uzoefu wa kufundisha wa miaka mitatu
-Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote nchini
Mwenye connection yoyote karibu PM
NB:
usiniambie nitume pesa yoyote ili uniunganishie kazi kwa sababu sitatuma.
Kama kuna dalali wa kazi yoyote ambaye yuko serious au mtu yoyote anayeuza nafasi ya kazi njoo PM tutete niko teari kumlipa mshahara wote wa Kwanza mwezi mmoja baada ya kupata na kuanza kazi na si vinginevyo.
Sawa mkuu ntakuchekiMkuu mi nahangaika kufungua tuition centre nakosa pesa za pango na madawati ya kuanzia. Sehemu ni nzuri sana pale makambako. Kama utakuwa serious tufanye kazi maana inahitajika 500000 tu ili tulipe pango pamoja na kutengeneza madawati walao 10 ya kuanzia pamoja na meza na viti vya ofic. Wanafunzi wa PC, QT pamoja na tuition kwa wanaosoma public school ni wengi mno.
Tuwasiliane
Karibu mkuu wanguSawa mkuu ntakucheki
Uko wapi mkuu??Karibu mkuu wangu
Mkuu Mimi nipo Dar, huko ni mbali kweliNiko makambako
Mkuuu wazoo zuri...tuwasiliane we can do something..Mkuu mi nahangaika kufungua tuition centre nakosa pesa za pango na madawati ya kuanzia. Sehemu ni nzuri sana pale makambako. Kama utakuwa serious tufanye kazi maana inahitajika 500000 tu ili tulipe pango pamoja na kutengeneza madawati walao 10 ya kuanzia pamoja na meza na viti vya ofic. Wanafunzi wa PC, QT pamoja na tuition kwa wanaosoma public school ni wengi mno.
Tuwasiliane