Naitwa Goshen Gerald Wa Kinondoni Dar
Natafuta Kazi ya Secretary office au stationary
Na CV na uzoefu pia Wakutosha miaka NNE katika Kazi
Office iwe Dar au nje nchi
Typing na speed mzuri
Mc word
Mc puplisher
Mc excel
Na printing zote copy internet technology
Contact 0679 421259 emagosheni1@gmail.com
Du!kweli ajira zimekuwa ngumu,hasa kwetu sisi wa dada mpaka unafikiri kujiingiza kwenye mambo yasiyo takiwa ili mkono uende kinywani,mm pia nishahangaika sana bila mafanikio, watu wanajiajiri kwa kujuana, uji
Tusaidiane wana jf,mm pia nimesoma full sectarial course pamoja na Hotel management lkn kila napoenda kuomba kazi naambiwa nafasi hamna,ukibahatika unaambiwa acha cv kuitwa majaariwa.tena bora umkute reception wa kiume anaweza kuzifikisha kwa mhusika,ila siye