Natafuta kazi ya stationary

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni kijana nimemaliza form 4 natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, stationary, au kuuza duka. Nimesomea computer pamoja na masomo ya biashara yaani commerce na book-keeping kwa sababu hiyo nina uzoefu mkubwa sana na kazi hizo.

Nipo Dar maeneo ya kigogo. Mawasiliano yangu 0756525889. Atakayeona tangazo hili anisaidie kumwarifu na mwenzake. Asante.
 

*stationary = stationery
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…