Natafuta kazi ya Safety Officer

laurie25

New Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
4
Reaction score
5
Habari wapendwa mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu kwenye fani ya Mazingira na Jiografia, pia nmepitia mafunzo ya usalama mahali pa kazi (OSHA)

Naomba kwa mwenye connection na makampuni mbalimbali anisaidie kuniunganiasha. Nawatakieni majukumu mema asante.

Mawasiliano: 0655182385
 
Mungu akusimamie.
Lakini kwani kwa sasa unajihusisha na nini au ndo uko nyumbani
 
Mungu akusimamie.
Lakini kwani kwa sasa unajihusisha na nini au ndo uko nyumbani

Amina sana mkuu
Kwa sasa bado sijapata shughul yoyote maana nilikuwa na mkataba mahali umemalza novemba hii.
 
Amina sana mkuu
Kwa sasa bado sijapata shughul yoyote maana nilikuwa na mkataba mahali umemalza novemba hii.
Kipindi unasubiri hizo za ofisini unaweza ukajaribu kujiajiri kama unamentality nzuri.
Wanasema huko ndo wengi wanatajirikia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…