Habari zenu wana JF. Mimi naomba msaada wenu kama Kuna mtu anaweza nisaidia kupata kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2. Na pia ni graduate WA Business Administration. Kwa yeyote naomba ani pm. Nawakilisha.