Iyo Diploma ni ya chuo gani na gpa ako ni ipi?
Mpendwa, GPA sidhani kama ina nafasi mbili za desimali...rekebisha!
GPA haina decimal mbili
GPA haina decimal mbili
mi nna mpango wa kufungua internet cafe hapa jijin mbeya, vp uko tayari kua mhudumu?
Unaweza kufanya programing kwa language ngap??
Mkuu bado sijajua kama ume nisahihisha au umeniunga mkono!??
maliza kwanza chuo
Mpaka kupost uzi huu ni kwamba me ni graduate
So usicomment tu kuburudisha baraza blessed lenny