Natafuta kazi ya kujitolea

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
146
Reaction score
295
Mimi ni kijana (ME) nina miaka 22 mwanafunzi wa chuo cha mzumbe ni nasoma BACHELOR OF LOCAL GOVERNMENT MANAGEMENT mwaka wa kwanza . Kwa sasa nipo mkoani rukwa natafuta kazi ya kujitolea katika mashirika yasio ya kiserikali (NGO) kwa kipindi hiking cha likizo ambayo itashia mwezi wa 8 . Nawakilisha kwenu wakubwa
Kwa mawasiliano 0756691844 .
 
Hebu nenda katandala hapo kwenye jumba la masista ulizia mtu mmoja anaitwa Dismass Kambale. Ukimpata mueleze shida yako utapata kazi ila posho 150,000/=.
 
Hebu nenda katandala hapo kwenye jumba la masista ulizia mtu mmoja anaitwa Dismass Kambale. Ukimpata mueleze shida yako utapata kazi ila posho 150,000/=.
 
Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Nia asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi,Kilimanjaro.
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika vituo vyetu visuatavyo.
1. SHULEYA AWALI NA KITUO CHA VIJANA MAJENGO,MOSHI (Hii bi shule inayo fundisha watotot wadogo wa kati ya miaka 2-6
Tunahitaji waalimu wa kujitole.
2. MAJENGO VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Ni kituo cha mafunzo ya ufundi stadi ,kilimo na ujasiriamali.
KINATOA MAFUNZO KWA AKINA MAMA,VIH=JANA NA JAMII ZA KATA ZA kahe.
3. MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT,CHO CHA UFUNDI STADI NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO,Kipo moshi mjini.
4.HIMO ICT CENTRE;
Hiki ni kutuo cha mafunzo ya TEHAMA ,huduma za internet na stationary, kulicho HIMO-MOSHI
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA WASILIANE NASI AU ATUME BARUA NA CV ZAKE KWA EMIAL...info@tareo-tz,org au simu no.
o717157659/0754469894.
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…