Natafuta kazi ya kufunza

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
296
Wanajf kama kuna ambaye anaweza kuniunganisha na kazi ya kufunza entrepreneurship, business admn na ICT naomba aniinbox, niko na degree ya biashara katika IT na niko na uzoefu wa mwaka nusu katika kufundisha IT na entrepreneurship, kwasasa nafanya kazi kwenye microfinance kama credit supervisor ila napenda kurudi katika kufunza, kama kuna mtu anaweza nisaidia anipm tuwasiliane vzuri
 

Kufunza?? Wee mdigo nini?
 
AnZisha darasa humu humu..
Sio lazima uende lecture room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…