theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,732 May 18, 2018 #1 Mimi ni kijana niko na umri wa 32 nakuja mbele yenu kuomba kazi ya kusimamia mashamba, vitalu na Green House mkoa wowote hapa nchini niko tayari.... Elimu yangu ni certificate in agriculrure naomba msaada wenu wakuu hali imekuwa ngumu sana huku mtaani.... Mbarikiwe watu wa Mungu.....
Mimi ni kijana niko na umri wa 32 nakuja mbele yenu kuomba kazi ya kusimamia mashamba, vitalu na Green House mkoa wowote hapa nchini niko tayari.... Elimu yangu ni certificate in agriculrure naomba msaada wenu wakuu hali imekuwa ngumu sana huku mtaani.... Mbarikiwe watu wa Mungu.....
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 May 18, 2018 #2 Kila la kheri katika ndoto yako ila waza kusimamia mashamba yako sio ya watu.
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 May 18, 2018 #3 nimependa signature yako, kila la heri mkuu
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,732 May 18, 2018 Thread starter #4 Mbao za Mawe said: Kila la kheri katika ndoto yako ila waza kusimamia mashamba yako sio ya watu. Click to expand... Na malengo hayo mkuu tatizo mtaji mkuu...
Mbao za Mawe said: Kila la kheri katika ndoto yako ila waza kusimamia mashamba yako sio ya watu. Click to expand... Na malengo hayo mkuu tatizo mtaji mkuu...
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,732 May 18, 2018 Thread starter #5 mwambadog said: nimependa signature yako, kila la heri mkuu Click to expand... Nashukuru mkuu...
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 May 18, 2018 #6 theriogenology said: Na malengo hayo mkuu tatizo mtaji mkuu... Click to expand... Hivi ni kiasi gani kinatakiwa ili mtu aweze kuanzia kilimo cha Mahindi kama una shamba. (Nipe uchambuzi wa kitaalamu)
theriogenology said: Na malengo hayo mkuu tatizo mtaji mkuu... Click to expand... Hivi ni kiasi gani kinatakiwa ili mtu aweze kuanzia kilimo cha Mahindi kama una shamba. (Nipe uchambuzi wa kitaalamu)
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 May 18, 2018 #7 Jofled John said: JamiiForaum wapuuzi tu! niliweka bandiko la kuomba kazi japo ya kuhudumia na kutunza kuku, lakini HOLA. Anaweza Akakupa namba kwamba umtafute, lakini ukimtafuta, hapokei simu. Mabwege Hawa. Click to expand... Pole sana.
Jofled John said: JamiiForaum wapuuzi tu! niliweka bandiko la kuomba kazi japo ya kuhudumia na kutunza kuku, lakini HOLA. Anaweza Akakupa namba kwamba umtafute, lakini ukimtafuta, hapokei simu. Mabwege Hawa. Click to expand... Pole sana.