T TheImporter Member Joined Oct 13, 2011 Posts 23 Reaction score 2 Jan 11, 2013 #1 Nina mtu wangu anatafuta kazi ya IT, ana experience ya miaka 3 na elimu yake ni advanced diploma in Computer Science ila sasa amehamia Dar baada ya kupata makazi ya kudumu. Naomba wana JF msaada wenu.
Nina mtu wangu anatafuta kazi ya IT, ana experience ya miaka 3 na elimu yake ni advanced diploma in Computer Science ila sasa amehamia Dar baada ya kupata makazi ya kudumu. Naomba wana JF msaada wenu.
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,831 Jan 11, 2013 #2 ngoja waje
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Jan 11, 2013 #3 ana experience kwenye nini? computer science ni pana sana.