Justine Daniel
Member
- Jun 18, 2023
- 23
- 16
Nzuri hiiKwa matatizo yote ya data usisite kunitafuta. 0654629098
Elimu: degree in official statistics
Ni mtaalamu haswa kwa maswala yote ya data. Tunafanya data ziwe rahisi katika kufanya tathmini ya biashara yako au namna ya uendeshaji wa kampuni yako.
Nipo DAR ES SALAAM
Kuna mahali wanataka mtu wa data entry mshahara 250K kwa mwezi. Kama upo tayari uendeKwa matatizo yote ya data usisite kunitafuta. 0654629098..
Kuna mahali wanataka mtu wa data entry mshahara 250K kwa mwezi. Kama upo tayari uende
Wacha niwaunganishe wakapambane wenyewe🤣😁😁😁Naionea huruma PM yako subir waamke!
Nipo tayari nipe location 0654629098Kuna mahali wanataka mtu wa data entry mshahara 250K kwa mwezi. Kama upo tayari uende
Jamani dada yenu natafuta kazi
Nimesoma Records Management Diploma
Mungu akuongozeJamani dada yenu natafuta kazi
Nimesoma Records Management Diploma
Fatiliaga kazi za halmashauri, wanatoaga kila Mara tu.Jamani dada yenu natafuta kazi
Nimesoma Records Management Diploma
Naomba mkuu, siunajua tunavyokuwa wengi kwenye interviewFatiliaga kazi za halmashauri, wanatoaga kila Mara tu.
Mnakuwa wengi kwenye interview, umekata tamaa mapema, sawasawa.Naomba mkuu, siunajua tunavyokuwa wengi kwenye interview
Sijakata tamaa, naendelea ndo maana hata na huku naombaMnakuwa wengi kwenye interview, umekata tamaa mapema, sawasawa.
Kitaeleweka tu.Sijakata tamaa, naendelea ndo maana hata na huku naomba
TRA nimeomba, sichoki mpaka kieleweke
Yeah!Inaweza kufanya Infographics?