Nina cheti cha kuzaliwa,cheti cha kuhitimu elimu ya msingi,cheti chenye matokeo ya kumaliza elimu ya sekondari(O-level & A-level),cheti cha JKT,kitambulisho cha uraia Leseni ya udereva daraja D na degree zangu mbili za biashara pamoja na kujitahd kutuma maombi na kuwa muuzuliaji mzuri wa Magroup na website zote zinazojishughulisha na kusogeza ajira kwa vijana kwa kuzikusanya sehemu moja bado mpaka sasa sijawahi kuajiriwa na kampuni.
Serikali ama mtu binafsi yeyote mpaka nlipoamua kujitafutia kakitu ka kufanya ambako mpaka sasa kananisukuma taratibu.Sijataja haya yote kukufanya ushtuke ila n ili kukuonesha shida ya kusoma elimu itakayokufanya uwe mtumwa mbeleni..Badala ya kutafuta ajira itakayokupa pesa ya kuendelea na elimu yako ni bora zaidi ukatafuta pesa ya kuanzisha kakitu kako mwenyewe...Kiufupi siku hizi watu wanasoma baada ya kufanikiwa ili kuongeza uelewa na sio ili kupata ajira....UCHUMI WA KATI