Habari..
Mimi ni mwanamke (21). Naishi Dar es salaam. Nimekuja mbele yenu hapa kwa nia ya kutafuta kazi halali itakayo niingizia chochote kitu...Mimi ni mwaminifu na mchapa kazi ..sio mzito wa kufikiri pia naweza kuongea kiingereza na kiswahili vizuri..najiamini na napenda kufanikiwa zaidi..
Pia naweza kukusaidia kwa kazi yoyote na kufanikisha lengo...
Ni PM kwa maelewano zaidi.
Weka Elimu yako, ujuzi na kazi unayohitaji. Kusema kazi yoyote isipokuwa housegirl na bar maid haitoshi, usimfanye mwajiri kuumiza kichwa juu ya aina gani ya kazi inayokufaa.