ester nyagawa
Member
- Sep 2, 2013
- 9
- 5
Dada ester nyagawa, pamoja na shida za ajira nchini, si vizuri kuweka hadharani details zako zote humu. Halafu hiyo Computer Science in Engineering inanichanganya kidogo, naona watu wameanza kuwa wabunifu wa programme names!Habari zenu wadau.naitwa Ester Nyagawa natafuta kazi.profession yangu ni IT.nina diploma ya COMPUTER SCIENCE IN ENGINEERING.Kwa yeyote atakaekuwa na taarifa kuhusu kazi naomba ani PM kwenye namb 0659965555.na nitatuma cv yang kupitia barua pepe kwa yeyote etakaehitaj niitume.asanteni.
utofauti upo zaid katika utendaji dada yangu
.
Dada ester nyagawa, pamoja na shida za ajira nchini, si vizuri kuweka hadharani details zako zote humu. Halafu hiyo Computer Science in Engineering inanichanganya kidogo, naona watu wameanza kuwa wabunifu wa programme names!
mrembo ester kama ulikuwa una ni address mimi,naomba ufahamu mimi ni kaka yako.sio dada.tazama vizuri avatar yangu or go through my jf profile for more info.tahadhari usije ukakwazana na watu,kumbuka upo hapa kuomba msaada wa ajira ili usaidiwe.
tatizo na wewe unatumia jina la kike