M mercy heart Member Joined Sep 20, 2014 Posts 20 Reaction score 1 Feb 26, 2015 #1 Habari zenu wanaJF! Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu mwaka wa kwanza, nipo likizo kwa muda wa miez 4. Natafuta ajira yoyote ya kujishikiza na nipo Mpanda Ahsanteni!
Habari zenu wanaJF! Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu mwaka wa kwanza, nipo likizo kwa muda wa miez 4. Natafuta ajira yoyote ya kujishikiza na nipo Mpanda Ahsanteni!
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Feb 26, 2015 #2 Musoma utafanya?
K K.hewa Senior Member Joined Oct 18, 2012 Posts 165 Reaction score 33 Feb 27, 2015 #3 umesoma koz gani, nipo mpanda
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,321 Reaction score 13,762 Feb 27, 2015 #4 K.hewa said: umesoma koz gani, nipo mpanda Click to expand... KOZ TENA KOZ Ndo nini Unavyoonekana tuu wewe huwezi kumsaidia yaani mtuu aanze kukutajia koz alizosoma humu! Duuh Kwa kukusaidia tuu Chuo Kikuu huwa wanaulizwa umesoma programme gani? na wala siyo kozi nina mashaka sana na uelewa wako ndugu!!
K.hewa said: umesoma koz gani, nipo mpanda Click to expand... KOZ TENA KOZ Ndo nini Unavyoonekana tuu wewe huwezi kumsaidia yaani mtuu aanze kukutajia koz alizosoma humu! Duuh Kwa kukusaidia tuu Chuo Kikuu huwa wanaulizwa umesoma programme gani? na wala siyo kozi nina mashaka sana na uelewa wako ndugu!!