nilihitimu chuo mnamo mwaka 2011, fani ya IT. sijabahatika kupata kazi hadi sasa! ila nimekuwa napata vibarua vidogo vidogo! nipo vizuri katika upande wa web design kwa kutumia WordPress, pia system design kwa PHP, visual basic 6 na Ms -access