Natafuta kazi iliyo halali

Tamaduni Sr

Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
18
Reaction score
47
Habari wakuu
Mimi ni graduate wa chuo kikuu nimesomea masuala ya biashara katika uhasibu,pia ni dereva wa pikipiki mzuri na nnaleseni ..Naombea wadau,ndugu,jamaa na marafiki ambao mnaweza kuwa na connections za kazi, hata isiyo husiana na maswala niliyosomea ...ilimradi iwe kazi halali

Mawasiliano yangu ni 0718667889 or 0738945259
 
All the best chief! Karibu shambani pia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…