Nahitaji kazi kama; House boy, Gardener, shop keeper, cleaner, au tenda yoyote ambayo ina mshahara kuanzia elfu hamsini. I'm kelvin valentine, nipo salasala dar es salaam, nina elimu ya kitado cha sita, 0655192252. Naombeni tafadhari.
The Demtatuzi Company Limited located at Mwenge,
Inawatangaza nafasi za kazi watanzania wote.
Nafasi za kazi ni kama ifuatavyo:-
(i) Secretary (1)
Awe na Elimu ya Certificate/Diploma kutoka chuo kinachotambulika (women are highly encouraged to apply).
(ii) vijana wa Stationary (10) jinsia zote
SIFA:
Awe na Ujuzi wa kutumia computer na uzoefu wa kazi ya stationary.
(iii) Vijana wa kuuza dukani (10)
Sifa :
Uwe ulishawahi kufanya kazi ya dukani
General Conditions
(i) discussion for job, guidance & induction will be done on 27.03 2022.
(ii) Faithfullness is very important
(iii) come with introduction lette