lettymololo
Senior Member
- Mar 17, 2014
- 132
- 11
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.Kwa majina naitwa faraja mololo napatikana dodoma,ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi halali maeneo ya dodoma mjini,huu ni mwaka wangu wa nne nafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika moja kubwa tu hapa tanzania.lengo langu nataka kama nikifanikiwa niweze kujiendeleza kielimu hata kwa masomo ya jioni.nitashukuru kwa yeyote ambae atakua na moyo wa kunisaidia.kwa ufafanuzi zaidi waweza tuma meseji kwa namba hii 0684864360 asante!
Ni ya halali ila natamani niwe mjini jirani na vyuo ili niweze kusomaFaraja, hiyo kazi uliyonayo sasa hivi siyo ya halali???na kwanini unataka kuiacha? labda kujua sababu itasaidia wewe kupata kazi.
Dah maelezo yako yamenichanganya sana ubongo wangu.
Embu nifafanulie ulichosema hapo juu kwa kifupi sana.
Unatafuta kazi? Au unafanya kazi? Au unataka kuacha kazi?
Sababu ya kutafuta kazi mjini nataka niwe jirani na vyuo ili niweze kujiendeleza kwa sasa nafanyia kazi vijijini huko.
Nipo mkoka
Nipo mkoka
Nipo mkoka
Nipo mkoka
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.
Kwa majina naitwa Faraja Mololo napatikana Dodoma, ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi halali maeneo ya Dodoma mjini, huu ni mwaka wangu wa nne nafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika moja kubwa tu hapa Tanzania. Lengo langu nataka kama nikifanikiwa niweze kujiendeleza kielimu hata kwa masomo ya jioni.
Nitashukuru kwa yeyote ambae atakua na moyo wa kunisaidia, kwa ufafanuzi zaidi waweza tuma meseji kwa namba hii 0684864360.
Asante!