nipo tayari kuja mbeya kaka!mbeya ipo nafasi ila kwasababu unataka mwanza na dodoma hatutoi nafasi hyo
Kwa bahati mbaya siku hizi ni 20% tu ya kazi hutangazwa. 80% hutolewa kwa "networking" ambapo huenda kwa 20% ya wanaotafuta kazi. Ina maana 80% ya watu wanaotafuta kazi hawajui au hawana networks za kuwapatia kazi.
Kwa mantiki hiyo jamaa yangu nakushauri anza kujenga network hata kwa miaka 2-4. Network inajengwaje?
1. Kujitolea (volunteering) - Kutokana na eneo ulipo nenda kwa mashirika ya umma na yasiyo ya kiserikali wanofanya kazi sawa na ulichosomea, waambie kuwa upo tayari kujitolea kufanya kazi bila mshahara kama sehemu ya kupata uzoefu.
2. Ukibahatika kupata sehemu ya kujitolea fanya kazi kwa bidii na jenga urafiki na watu wa kila aina, huku ukieleza kuwa unatafuta kazi bila kujali ni nani unamwambia
3. Tumia mitandao na mikusanyiko ya kijamii kufahamiana na kujenga urafiki na watu tofauti tofauti. Kama ulisoma mkoa uliopo nenda kwa waliokuwa walimu wako ongea nao kama wanaweza kukupa nafasi kwenye projects zao au kukuunganisha na watafiti wenzao
4. Usikate tamaa. Kazi itapatikana kwa kuwa Hard working and patient. Hata sisi tulipita katika kipindi cha mpito hadi tulipobahatisha kupata kazi.
5. I wish you all the best

mbeya ipo nafasi ila kwasababu unataka mwanza na dodoma hatutoi nafasi hyo