We jamaa umekuja kwa kujifanya mjuaji ,umemkatiisha tamaa mleta mada,wamekuja wanao jua zaidi yako wamekupa za uso, naona umeanza kuwwseka na kuongea lolote..
Nahisi wewe ndo mshamba. iPod na iPad ni vitu tofauti, na hakuna kilichopitwa na wakati. Hivyo iPad sio mbadala wa iPod. Nna mashaka huvijui vitu hivi unasikia majina tu. After all si lazima kutumia lugha hiyo.