Natafuta ipod used

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
5,000
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza natafuta ipod ya kununua..mwenye nayo tuwasiliane tufanye biashara 0655090000
 
Kha! Utapita nayo wapi? Ivyo vitu viko outdated kitaambo! Kama vip tafuta iPad! Au ndio mganga wako amekutuma hivyo?
 
IPod dunia ya Leo ya kazi gani? Njoo mi nikupe bure sina kazi nayo
 
Kha! Utapita nayo wapi? Ivyo vitu viko outdated kitaambo! Kama vip tafuta iPad! Au ndio mganga wako amekutuma hivyo?

Uko dunia yangapi kaka ipod miezi 2 iloyopita wametoa ipod 5 ambayo iko kama iphone 5s, unamwambia anunue ipad je akipata ipad 1 si yatakuwa yaleyale, uwe unachungulia chungulia mitandaoni kujua yanayoendelea, utakuja chekwa bure mjini hapa..
 
Ingia website ya apple angalia ipod 5 specs zake yake alafu rudi ucomment tena...!

Dada tusaidie kuileta hapa tuione kwa picha na features zake, upande wangu mi naona ni kitu iliyopitwa na wakati kwny hii dunia ya Smartphones
 
Ww kupitwa na wakati unaamaanishwa nini? Basi hata ipad imepitwa na wakati na huyo mtu anayetaka kununua ipod sidhani kama anauwezo wa kununua ipad air ambayo ni latest, kama unamaanisha anunue ipad 1 kwa specification za ipod 5 zilizokuwa kumilika ipad 1 nikupoteza muda, anyway after few hours or minutes nita kuletea picha zake na specification zake pia
 
Uko dunia yangapi kaka ipod miezi 2 iloyopita wametoa ipod 5 ambayo iko kama iphone 5s, unamwambia anunue ipad je akipata ipad 1 si yatakuwa yaleyale, uwe unachungulia chungulia mitandaoni kujua yanayoendelea, utakuja chekwa bure mjini hapa..

Hata wakitoa mpya! Ni sawa sawa na Sony watoe walk man mpya, utaishobokea coz ni mpya? Hiyo technologia ya ipod ishakuwa absorbed kwenye smart phone...
 
Hata wakitoa mpya! Ni sawa sawa na Sony watoe walk man mpya, utaishobokea coz ni mpya? Hiyo technologia ya ipod ishakuwa absorbed kwenye smart phone...

Kabla sijaongea sana naomba unijibh maswali yangu haya mawili
1)Tofauti ya ipod na ipad ni nini? Naomba uniambie tofauti yake kabla sijaendelea kupoteza muda wangu
2)Elimu yako ni darasa/Kidato cha ngapi?

P.S zingekuwa hazina soko wangeshaaha kutoa matoleo mapya siku nyingi! Usiifananishe ipod na walkman ni sawa sawa ufananishe na baiskeli na ndege..
GET YA FACT RIGHT BWOY...#init
 
Mkuu unabishana nao bure hawajui
Ipod inakaa na chaji zaid hivo ni nzuri kwa wanaosafiri muda mrefu

Wasafiri wengi hasa wanaotumia ndege wanatumia sana ipods

Kingine wazazi ambao hawapend watoto wao watumie vifaa vya mawasiliano kama simu au tablets hununulia wanao ipods kwa ajili ya mudic na games
 
Kha! Utapita nayo wapi? Ivyo vitu viko outdated kitaambo! Kama vip tafuta iPad! Au ndio mganga wako amekutuma hivyo?

Nahisi wewe ndo mshamba. iPod na iPad ni vitu tofauti, na hakuna kilichopitwa na wakati. Hivyo iPad sio mbadala wa iPod. Nna mashaka huvijui vitu hivi unasikia majina tu. After all si lazima kutumia lugha hiyo.
 
Asantr kaka ...Kula Tano...
 
Nakudediketia wimbo huu... Utausikiliza pindi utakapoipata hiyo IPOD...

Noorah ft Dully&Chege-Acha ushamba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…