Natafuta Ipod ambayo inafunction fresh na iko katika hali nzuri. Bei ni maelewano na itategemea na condition ya bidhaa yako ilivyo. PM fast kama uko interested.
Tuandikie sisina utupe aina ya Ipod unayotafuta, mpa au used, GB ngapi ili tukutafutie kwenye soko la dunia, US, UK, Japan, Canada au Mexico. Andika : pacificamarine@yahoo.com