Mkuu ngoja nikusaidie uingie kwenye technology na utamu wa maisha ,anzia kwenye used nakupunguzia inunue kwa 249,950Tshs
Ina gurantee ya 6 month kwenye hardware ni iphone 3G u/16 GB capacity used in US,working perfectly.
Condition ni uishukuru JF tu.