Kama huna Pesa za Mawazo Unataka iPhone kweli Nenda Mlimani City kuna iStore nenda Msasani/Masaki kuna iStore kule utazipata kwa Rangi ambayo Utaipenda.
Kama huna Pesa za Mawazo Unataka iPhone kweli Nenda Mlimani City kuna iStore nenda Msasani/Masaki kuna iStore kule utazipata kwa Rangi ambayo Utaipenda.
Atapasuka msamba huyu kule [emoji38][emoji38][emoji23]
6s plus 64 gb second hand yenye good condition hapati less than M 1.3....kama ipo chini ya million sio nzima hyo.
Kule istore atapigwa M 1.7 unataka jamaa aanguke na kifafa nn ?? [emoji38][emoji38]