Wewe ndo huna uzoefu mkuu, hizo engine ni kuanzia milioni 8 nakendelea na hiyo ya 8 unakuta ilishafanyiwa na overhaul. Jipange hata na 10m sababu zina range m8 hadi 12 kwa engine nzuri.
Nasita kukwambia hiyo ya 4.5 unaweza kukuta hata imepigwa overhaul 3 nikiwa namaanisha inaweza ika inachemsha na kuka oil kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app