N Ndeleya Member Joined Mar 20, 2009 Posts 18 Reaction score 6 Jul 18, 2015 #1 Wapendwa wanajukwaa! Natafuta mashine ya kutotolea mayai yenye uwezo wa kubeba mayai kati ya 200 mpaka 500. ...ukiniambia mahali zinakopatikana na bei zake ntakushukuru.
Wapendwa wanajukwaa! Natafuta mashine ya kutotolea mayai yenye uwezo wa kubeba mayai kati ya 200 mpaka 500. ...ukiniambia mahali zinakopatikana na bei zake ntakushukuru.
U utumbompana Member Joined Jul 19, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jul 19, 2015 #2 Zinapatikana hapa dar, kuna za china na zinazotengengenezwa nchini
U utumbompana Member Joined Jul 19, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jul 19, 2015 #3 Zinapatikana hapa dar, kuna za china na zinazotengengenezwa nchini, Bei ina-range kati mil 1 na kuendelea
Zinapatikana hapa dar, kuna za china na zinazotengengenezwa nchini, Bei ina-range kati mil 1 na kuendelea