N Natural Member Joined Nov 4, 2010 Posts 49 Reaction score 12 Oct 2, 2014 #1 Wadau, mwenye link ya hii huduma tafadhali saidia. Natafuta importer wa ream papers aina ya Mond Number 1, Dolphin, Nopa au Mond Ratatrim. Nimejaribu kucheck na watu wa kariakoo lakini hawanipi link ya kueleweka.
Wadau, mwenye link ya hii huduma tafadhali saidia. Natafuta importer wa ream papers aina ya Mond Number 1, Dolphin, Nopa au Mond Ratatrim. Nimejaribu kucheck na watu wa kariakoo lakini hawanipi link ya kueleweka.
D Demarco JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 546 Reaction score 222 Oct 9, 2014 #2 Funguka zaidi unahitaji kiasi gani kwa mwezi?
msani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 1,800 Reaction score 1,194 Oct 9, 2014 #3 Sema unataka mzigo kiasi gani!
N Natural Member Joined Nov 4, 2010 Posts 49 Reaction score 12 Oct 13, 2014 Thread starter #4 Wadau, Kama bei iko vizuri, Nakaka carton 250 kwa mwezi.
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,809 Oct 13, 2014 #5 0772298824 mcheki huyu mkuu
M mwangambaku Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 109 Reaction score 22 Oct 13, 2014 #6 umesomeka kiongozi, Je unahitaji kuanzia lini ? uko tayari tusaini makubaliano nikuletee hizo caton 250? kila mwezi ? kama ni ndiyo pls ni pm
umesomeka kiongozi, Je unahitaji kuanzia lini ? uko tayari tusaini makubaliano nikuletee hizo caton 250? kila mwezi ? kama ni ndiyo pls ni pm
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,317 Oct 13, 2014 #7 Kuna kitu cha maana sana ambacho haujaelezea.., ambacho ukielezea utapunguza kero na kupata kile unachotaka kwa urahisi..... Bei unayotaka iwe kati ya ngapi mpaka ngapi kwa carton ? yaani isizidi ngapi na mzigo ukufikie wapi ?
Kuna kitu cha maana sana ambacho haujaelezea.., ambacho ukielezea utapunguza kero na kupata kile unachotaka kwa urahisi..... Bei unayotaka iwe kati ya ngapi mpaka ngapi kwa carton ? yaani isizidi ngapi na mzigo ukufikie wapi ?