Natafuta gari ya bei nafuu

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,087
Reaction score
15,200
ambayo naweza kuilipia kwa instalments isiwe aghali
mie ni fundi mechanics
akhsante
 
weka no.ya simu............nikutumie picha

Ipo ROVER MARK II 4.5M

0755 927881
 
njoo nkuuzie corola ltd 2.8 mln, manual.....itakufaa
 

Attachments

  • caldina.jpg
    14.7 KB · Views: 395
  • caldina2.jpg
    15.3 KB · Views: 359
tena kwa kuwa jamaa ni fundi mechanic hiyo itamfaa kabisa.
Kiwese nusu galoni mambo saaaafiiiiiiii....

kweli kabisa ila jamaa sijui kapotelea wapi fundi wetu....nimuzie
 
ambayo naweza kuilipia kwa instalments isiwe aghali
mie ni fundi mechanics
akhsante

Njoo nikupe hii Toyota VISTA iko safi sana
 

Attachments

  • 1408601894867.jpg
    84.1 KB · Views: 404
Waungwana nipo lakini ,msisahau malipo ni kiwa instalments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…