Unavyosema gari ndogo unamaanisha nini wewe civil? Gari zenye cc ndogo au zenye umbo dogo? Na pia ni lazima useme gari gani, Kama hujui unataka gari gani basi jua unakaribia KULIA
Unatafuta ya kununua ama ya kukodi. Kama unatafuta ya kununua nikuuzie Spacio inauzwa bei 7.8m punguzo kidogo lipo. Kama uko interested kununua sema nikutumie picha. Gari liko vizuri halina tatizo loloteMimi ni Civil Technian nimejiajiri hapa mjini, kwa nature ya kazi yangu ninakuwa na mizunguko ya kukagua kazi zangu au kuwa na sites visit. Nahitaji gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu. Muda ninapokuwa free kwa siku au kutoka site moja kwenda ingine naweza kuifanya uber ndio maana nitapenda gari dogo na kwa mtu tutakubaliana terms za malipo kama za wanazowapa madereva wa uber japo kwa upande wangu atakuwa na uhakika wa malipo.
Mawasiliano DM au 0767248096
Unatafuta ya kununua ama ya kukodi. Kama unatafuta ya kununua nikuuzie Spacio inauzwa bei 7.8m punguzo kidogo lipo. Kama uko interested kununua sema nikutumie picha. Gari liko vizuri halina tatizo lolote
Gx110Eng. unatembeaje na vinduruche?? njoo kuna jamaa anakodisha gari ya vvti cc1980 50k per day
yesGx110
nina vitz nachuku 80 kwa siku...inaweza pungua kidogo
Gari ya vvti?? Ungesema tu ya cc 1980Eng. unatembeaje na vinduruche?? njoo kuna jamaa anakodisha gari ya vvti cc1980 50k per day
Sawa, ila humu kunaweza kusiwe sehemu sahihi. Amini hilo, kuwa makini sana maana mimi nipo concerned sana na KILIO chako baada ya kupataGari ndogo jamii ya IST, Raumu, Vitz
Okey, nimekuelewa.Gari ya vvti?? Ungesema tu ya cc 1980
Ile gari its a true balanced car.. ikitokea kwenye kikao nyeti inaonekana upo serious, ukitokea kwa wagumu inaonekana nunda, ukitokea nayo site unaonekana mchagga au mpare.. ukitokea nayo Bushi unaonekana mzee wa vitu vya kudumu... Yaani popote Waah
Umeelewa kweli? Maana una kichwa kigumu sana, unatumia tu kufugia nywele.Okey, nimekuelewa.
Hii gari ina conforty ya aina yake, yaani hata ukiingia shimo kama bush, balljoint, reckhand vipo sawa husikii kituIle gari its a true balanced car.. ikitokea kwenye kikao nyeti inaonekana upo serious, ukitokea kwa wagumu inaonekana nunda, ukitokea nayo site unaonekana mchagga au mpare.. ukitokea nayo Bushi unaonekana mzee wa vitu vya kudumu... Yaani popote Waah
hahahahaaaaaa hata nywele mkuu zimegoma kuota kwenye hii kichwa 🙂 🙂 zimebaki ndevu tuUmeelewa kweli? Maana una kichwa kigumu sana, unatumia tu kufugia nywele.
Sawa, ila humu kunaweza kusiwe sehemu sahihi. Amini hilo, kuwa makini sana maana mimi nipo concerned sana na KILIO chako baada ya kupata