southernboy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 904 Reaction score 1,102 Apr 11, 2025 #1 Habari wakuu natafuta gari la kununua kati ya Toyota Runx au Spacio namba D bajeti isisidi mil 6 Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Habari wakuu natafuta gari la kununua kati ya Toyota Runx au Spacio namba D bajeti isisidi mil 6 Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Apr 11, 2025 #2 Kila la heri mkuu
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,322 Apr 11, 2025 #3 Kila la heri katika harakati za kutembea ukiwa umekaa. Ila ushahuri hapo pokea na namba C.
Ginner JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 1,576 Reaction score 2,218 Apr 11, 2025 #4 Runx namba D utapata iliyochoka sana.....ziko juu sana kwa sasa
babaellen Member Joined Aug 24, 2015 Posts 26 Reaction score 14 Apr 19, 2025 #5 mimi ninayo namba EDA nauza 13M, ipo vizuri haina udalali
JAKUGOTE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 833 Reaction score 1,146 Apr 19, 2025 #6 Mkuu kwa hizo gari huwezi kupata kwa bei hiyo labda iwe imechoka sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Apr 20, 2025 #7 All the Best
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,352 Reaction score 185,597 Apr 21, 2025 #8 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw