Natafuta Fundi wa nyumba

Kuna dogo mmoja nilichukua namba yake humu humu JF akanifanyia urembo wa ukutani. Dogo yuko vizuri na wapita njia wengi walichukua namba yake akawafanyie kazi. Ile namba sikumbuki nilisevu jina gani.
 
Kuna dogo mmoja nilichukua namba yake humu humu JF akanifanyia urembo wa ukutani. Dogo yuko vizuri na wapita njia wengi walichukua namba yake akawafanyie kazi. Ile namba sikumbuki nilisevu jina gani.
Am here tupeane ridhiki mkuu fund rang my wasup no 0757735884
 
Mimi ni fund rangi professional wa finishing za nyumba ukihtaj kuona kaz zangu nimeweka uzi wangu jukwaa la ujenzi unajulikana Kama fund rangi na decoration za nyumba utaona vyote huko my wasup no 0757735884
 
Mafund tuko mkuu na detail za kaz zetu tulizozifanya shida ni hao madalali ndo wanatuharibia binafsi Mimi ni fund rangi na decoration za nyumba hivyo na mafund wa fan zingine ni rahis kukuunganisha nao maana tunajuana kwa utendaj kaz wetu ,kwahyo ukihtaj fund wa fan moja mzur ndo atakaekuletea mafund wazur wengine kupitia yeye lakin sio kuchukua ilimrad fund tu ,my wasup no 0757735884
 
Namba mbil na tano ,nazifanya kwa ufanis kabisa mkuu tembelea jukwaa la ujenz utaona project zangu kwa thread inaitwa fund rangi na decoration za nyumba utaona kaz zangu huko lakin pia unaweza kutumiwa wasup my no 0757735884
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater

Ahsante.
 
1,3,4 nakuunganisha na mafund wazur kabisa
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater

Ahsante.
 
Mimi sio dalali ni.fund mkuu ukihtaj kuona kaz zangu ninauz jukwaa la ujenzi zone unajulikana Kama fund rangi na decoration za nyumba huko utaona project zangu my wasup no 0757735884
Hivi ni kweli hakuna mafundi wazuri wa finishing waliofanya kazi zinazoweza kuonekana waweke porttifolio zao jamani? Zinatolewa namba za madalali tuu humu!
 
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater

Ahsante.
Conmix
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…