B Busekela Member Joined Mar 7, 2018 Posts 97 Reaction score 67 Nov 8, 2019 #1 Ndugu wanajukwaa,natafuta friji ya kununua ambayo Ina sehemu ya freezer,iwe kwenye hali nzuri bajeti 250,000/= nasisitiza iwe kwenye hali nzuri.mwenye nayo njoo Pm tuwasiliane
Ndugu wanajukwaa,natafuta friji ya kununua ambayo Ina sehemu ya freezer,iwe kwenye hali nzuri bajeti 250,000/= nasisitiza iwe kwenye hali nzuri.mwenye nayo njoo Pm tuwasiliane