I IMMA1 Member Joined May 16, 2017 Posts 61 Reaction score 47 Jan 27, 2018 #1 Kama kichwa kinavoeleza, Nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba, Rwagasore soko kuu nje upande wa Tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.
Kama kichwa kinavoeleza, Nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba, Rwagasore soko kuu nje upande wa Tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.
toroka uje mjini JF-Expert Member Joined Mar 29, 2017 Posts 1,584 Reaction score 2,118 Jan 27, 2018 #2 IMMA1 said: Kama kichwa kinavoeleza nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba,Rwagasore soko kuu nje upande wa tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie. Click to expand... Mkuu rwagasore frem ipo tena katikati ya mtaa huo frem zipo mbili ambazo zimeunganq..sasa hapo ni maamuzi yako kama utayahitaji yote au moja Kama upo sirias ni PM
IMMA1 said: Kama kichwa kinavoeleza nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba,Rwagasore soko kuu nje upande wa tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie. Click to expand... Mkuu rwagasore frem ipo tena katikati ya mtaa huo frem zipo mbili ambazo zimeunganq..sasa hapo ni maamuzi yako kama utayahitaji yote au moja Kama upo sirias ni PM