K keizzy Member Joined Dec 30, 2010 Posts 34 Reaction score 27 Feb 7, 2018 #1 Wadau, Natafuta frame maeneo ya mikochenk mwai kibaki road mpaka roundabout ya kawe, au maeneo ya namanga, Victoria, makumbusho mpaka mwenge. Iwe kubwa kuanzia 30sqm na kuendelea, iwe barabarani na parking space. Budget yangu 450,000. Shukrani
Wadau, Natafuta frame maeneo ya mikochenk mwai kibaki road mpaka roundabout ya kawe, au maeneo ya namanga, Victoria, makumbusho mpaka mwenge. Iwe kubwa kuanzia 30sqm na kuendelea, iwe barabarani na parking space. Budget yangu 450,000. Shukrani